Home LOCAL MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA MWANAMFALME WA DUBAI...

MAKAMU WA RAIS DKT. PHILIP MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO NA MWANAMFALME WA DUBAI SHEIKH AHMED DALMOOK AL MAKTOUM IKULU CHAMWINO DODODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, alipofika kumsalimia Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum, mara baada ya kufika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa kampuni ya Blue Carbon LLC ambaye ni Mwanamfalme wa Dubai Mheshimiwa Sheikh Ahmed Dalmook Al Maktoum pamoja na ujumbe aliofuatana nao mara baada ya kufika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 06 Februari 2023.

 

Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMATATU FEBRUARI 6 – 2023
Next articleJKT: OMBENI RADHI, FUTENI PICHA MARA MOJA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here