Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Dkt.John Jingu baada ya kuongoza Mkutano Kazi wa Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Disemba 28, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).