Home Uncategorized RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MAFUTA YA TAIFA YA UMOJA WA FALME ZA KIARABU (UAE) ENOC LLC, BW. SAIF AL FALASI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ENOC LLC, Bw. Saif Al Falasi aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2023.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati tarehe 27 Januari, 2023 walisaini Mkataba wa makubaliano (Memorandum of Understanding) na Kampuni hiyo ya ENOC LLCkuhusu Ujenzi wa Kitovu cha Mafuta (Fuel Hub) hapa nchiniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ENOC LLC, Bw. Saif Al Falasi mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2023. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati tarehe 27 Januari, 2023 walisaini Mkataba wa makubaliano (Memorandum of Understanding) na Kampuni hiyo ya ENOC LLCkuhusu Ujenzi wa Kitovu cha Mafuta (Fuel Hub) hapa nchiniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Umoja wa Falme za. Kiarabu (UAE) ENOC LLC, Bw. Saif Al Falasi mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2023. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati tarehe 27 Januari, 2023 walisaini Mkataba wa makubaliano (Memorandum of Understanding) na Kampuni hiyo ya ENOC LLC kuhusu Ujenzi wa Kitovu cha Mafuta (Fuel Hub) hapa nchiniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mafuta ya Taifa ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ENOC LLC, Bw. Saif Al Falasi pamoja na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Januari, 2023. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati tarehe 27 Januari, 2023 walisaini Mkataba wa makubaliano (Memorandum of Understanding) na Kampuni hiyo ya ENOC LLC kuhusu Ujenzi wa Kitovu cha Mafuta (Fuel Hub) hapa nchini
Previous articleKATIBU MKUU CCM AANZA ZIARA MOROGORO, AGUSIA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI
Next articleWAZIRI MKUU MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA DKT JINGU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here