Home BUSINESS KAMATI YA MAWAZIRI 8 WA KISEKTA YAWASILI MKOANI KAGERA

KAMATI YA MAWAZIRI 8 WA KISEKTA YAWASILI MKOANI KAGERA

Kamati ya Mawaziri Nane wa Kisekta imewasili rasmi mkoani Kagera kwa ajili ya kuongea na wakazi wa vijiji vinne vya kata ya Rutoro kuhusu uamuzi wa Baraza la Mawaziri juu ya vijiji hivyo ambavyo vimo ndani ya eneo la Ranchi ya Kagoma wilayani Muleba mkoa wa Kagera.

Kamati hiyo inaongozwa na mwenyekiti wake Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba ndaki na Makamu wake Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete.

Wengine ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja, Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. David Silinde, Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Anthony Mavunde, Naibu Waziri wa Maji Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi, Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Chilo.

Previous articleKILA CHOMBO CHA HABARI KINAPASWA KUWA NA DAWATI LA JINSIA-WAKILI MARENGA
Next articleUTAENDELEA KUENZI UHUSIANO WA KIDINI NA KIUTAMADUNI NA UGANDA-MAJALIWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here