Home LOCAL DKT. MWIGULU AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA FAO

DKT. MWIGULU AKUTANA NA NAIBU MKURUGENZI WA FAO

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), Bi. Beth Bechdol jijini Dar es salaam leo tarehe 3 Februari, 2026.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Pamoja na mambo mengine, Viongozi hao wameahidi kuendeleza ushirikiano uliopo baina ya Tanzania na FAO ili kukuza na kuimarisha sekta ya Kilimo nchini.