Home LOCAL WAZIRI KATAMBI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA

WAZIRI KATAMBI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amekutana na Balozi wa Uingereza nchini,Marianne Young ambae aliambatana na Mkuu wa Usalama na Sheria,Alex Beck pamoja na Mkuu wa Ofisi ya Dodoma,Godfrida Magubo.Katika kikao hicho mambo mbalimbali yalijadiliwa chini ya mwamvuli wa kusimamia na kuhakikisha Amani,Utii wa Sheria,Usalama wa Raia na Mali.Kikao hicho kimefanyika Makao Makuu ya wizara,Mtumba jijini Dodoma.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!