
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozinduzi Mpango Mkakati wa Kisayansi wa kujenga Umahiri wa Kujua Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kuanzia Wanafunzi wa elimu ya Awali mpaka Darasa la Pili eneo la Baraza la Mitihani Mwenge Dar es salaam leo January 29, 2026.
http://RAIS SAMIA KATIKA MATUKIO YA UZINDUZI KUSOMA, KUANDIKA NA KUHESABU -DAR ES SALAAM
Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja #kazinaututunasongambele




