Home LOCAL RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKA MPYA NA MABALOZI PAMOJA NA WAWAKILISHI...

RAIS SAMIA ASHIRIKI SHEREHE ZA MWAKA MPYA NA MABALOZI PAMOJA NA WAWAKILISHI WA MASHIRIKA YA KIMATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliposhiriki Sherehe za Mwaka Mpya na Mabalozi pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa (Diplomatic Sherry Party), hafla iliofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo January 15, 2026.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!