Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Viwanja vya jengo la Makao Makuu ya Mahakama Mkoani Dodoma tayari kwa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama Cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) leo January 13,2026.





