
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt.Asha-Rose Migiro akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu John Mongella,leo Januari 17,2026 amekagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Makao Makuu ya Chama hicho katika eneo la NCC jijini Dodoma.





