Home LOCAL WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI SONGWE KUKAGUA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU ZILIZOHARIBIWA 0CTOBA...

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI SONGWE KUKAGUA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU ZILIZOHARIBIWA 0CTOBA 29,2025.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17, 2025 akizungumza na wakazi wa eneo la Tunduma mkoani Songwe ambapo yupo katika ziara ya kikazi ya kukagua uharibifu wa miundombinu ya umma na mali binafsi zilizoharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025.

Akizungumza katika mkutano huo Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewaagiza Watendaji Wakuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) na TARURA kufanya tathimini ya miradi yote ambayo malipo ya awali yameshafanyika na hatua za ujenzi zilizofikiwa katika miradi hiyo.

Pia amewaagiza kuangalia kama utekelezaji wa miradi hiyo unaendana na kiwango cha fredha ambacho kimeshatolewa.

 http://WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA MKOANI SONGWE KUKAGUA UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU ZILIZOHARIBIWA 0CTOBA 29,2025.