http://RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA MSTAAFU WA AFRIKA KUSINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor ambayepia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe huo, tarehe 19 Desemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuwasilisha Ujumbe huo, tarehe 19 Desemba, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mstaafu wa Mambo ya Mahusiano ya Kimataifa na Ushirikiano wa Afrika ya Kusini, Dkt. Grece Naledi Mandisa Pandor, ambaye pia ni Mjumbe Maalum wa Rais wa Afrika ya Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa, baada ya kukabidhi Ujumbe huo Ikulu ndogo Tunguu, Zanzibar, tarehe 19 Desemba, 2025.




