Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA

RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake nchini Tanzania, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025.

http://RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA BALOZI WA KENYA NCHINI TANZANIA

Balozi Njenga alifika Ikulu kumuaga Rais Dkt. Samia baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini, ambapo pamoja na mambo mengine walijadili kuimarisha uhusiano wa kibiashara na uwekezaji kati ya Tanzania na Kenya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Kenya anayemaliza muda wake nchini, Mhe. Isaac Njenga, Ikulu Dar es Salaam, tarehe 17 Desemba, 2025.