Home ENTERTAINMENTS MC PILIPILI AFARIKI DUNIA

MC PILIPILI AFARIKI DUNIA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

TANZIA:

Msanii ambaye pia ni mchekeshaji na mshereheshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, anayejulikana kama MC Pilipili, amefariki Dunia leo mchana Novemba 16, 2025.

Taarifa zinaeleza kuwa, Marehemu amefariki ghafla akiwa njiani kuelekea Jijini Dodoma, ambapo alitarajiwa kuwa na kazi ya ushereheshaji katika moja ya shughuli zake jijini humo.

Akithibitisha Kifo hicho, Mganga mfawidhi Hospitali ya General Dodoma, Ernest Ibenzi amesema kuwa MC pilipili amefikwa na mauti akiwa safarini, nakwamba alifikishwa hospitalini hapo akiwa tayari ameshafariki.

Chanzo: #EastAfricaTV