Home INTERNATIONAL MAKAMU WA RAIS AKIFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU WA SLOVAKIA

MAKAMU WA RAIS AKIFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI MKUU WA SLOVAKIA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akifanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Slovakia Mhe. Robert Fico, kando ya Mkutano wa 7 wa Viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya (AU-EU Summit), unaofanyika Jijini Luanda nchini Angola.