Home LOCAL CCM YAMTEUA AZAN ZUNGU KUGOMBEA KITI CHA SPIKA

CCM YAMTEUA AZAN ZUNGU KUGOMBEA KITI CHA SPIKA

Mhe Mussa Mzungu Mti Mkavu ameteuliwa na Chama Cha Mapinduzi kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania katika uchaguzi wa ndani ya chama uliofanyika Leo. 

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

1. Kura zilizopigwa – 364 

2. Kura zilizoharibika – 0

MATOKEO.

1. Mhe. Masele – 16

2. Mhe Zungu – 348