Home LOCAL ZITTO KABWE AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAKONKO

ZITTO KABWE AMNADI MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAKONKO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akizungumza na wakazi wa kijiji cha Marenga kata ya Lugenge aliposimama kijijini hapo kumuombea kura mgombea wa jimbo la Kakonko wa chama hicho, Olaf Kaboboye mkoani Kigoma,Oktoba 06, 2025.