Home LOCAL ZITTO AMNADI MARTHA MTURANO KWA WANANCHI KASULU

ZITTO AMNADI MARTHA MTURANO KWA WANANCHI KASULU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Kiongozi mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akimuombea kura mgombea wa jimbo la Kasulu mjini wa chama hicho, Martina Mturano wakati wa kampeni yake iliyofanyika katika eneo la stendi mpya, Kasulu mmjini, mkoani Kigoma, Oktoba 08, 2025.