Home LOCAL PM MAJALIWA ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO SIKU YA WALIMU BUKOMBE

PM MAJALIWA ATEMBELEA MABANDA YA MAONESHO SIKU YA WALIMU BUKOMBE

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa tayari amewasili kwenye viwanja vya shule yaa sekondari Ushirombo kusherehekea siku ya Mwalimu- Bukombe.

Mhe. Kassim Majaliwa ambaye ni mgeni rasmi katika siku ya mwalimu – Bukombe amewasili katika viwanja hivi akiambatana na mgombea Ubunge jimbo la Bukombe, Dkt. Doto Mashaka Biteko.

Huu unakuwa msimu wa sita wa Maadhimisho ya siku ya mwalimu – Bukombe tangu yalipoanzishwa rasmi.

#Bukombe
#kusemanakutenda
#SikuyaMwalimuDuniani
#sikuyamwalimubukombe2025