Home LOCAL MGOMBEA URAIS WA CCM DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ALIVYOWASILI JIJINI MWANZA

MGOMBEA URAIS WA CCM DKT.SAMIA SULUHU HASSAN ALIVYOWASILI JIJINI MWANZA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

PICHA – 

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika matukio tofauti ya picha alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza tayari kwa ziara ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo October 07,2025.

Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja #kaziiendelee