Mgombea ubunge jimbo la Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa na mgombea udiwani kata ya Mwanga Kaskazini wa chama hicho, Wakili Mubanga wakiomba kura kwa wakazi wa kata hiyo, wakati wa kampeni ya nyumba kwa nyumba iliyofanyika katika kata hiyo, mkoani Kigoma, Oktoba 23, 2025





