Home LOCAL DKT. SAMIA ALIVYOWASILI MNAZI MMOJA KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

DKT. SAMIA ALIVYOWASILI MNAZI MMOJA KWENYE KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili na kupokelewa na Maelfu ya wananchi wa Unguja Visiwani Zanzibar kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja leo Ijumaa Oktoba 29, 2025, tayari kuendelea na Kampeni zake Visiwani humo kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.