Home LOCAL DKT.NCHIMBI NDANI YA JIMBO LA MOMBA,SONGWE AKIFANYA ‘FINISHING” MIKUTANO YA KAMPENI

DKT.NCHIMBI NDANI YA JIMBO LA MOMBA,SONGWE AKIFANYA ‘FINISHING” MIKUTANO YA KAMPENI

PICHA mbalimbali za Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi alipofanya mkutano wa katika uwanja wa Tindingoma, kata ya chiteto,Wilaya ya Momba,mkoa wa Songwe leo Oktoba 20, 2025, katika muendelezo wa mikutano yake ya hadhara ya kampeni za lala salama ya kusaka kura za ushindi wa kishindo za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu Hassan,Wabunge na Madiwani kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29,2025

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!