Home LOCAL ADO SHAIBU AKUTANA NA BODABODA TUNDURU

ADO SHAIBU AKUTANA NA BODABODA TUNDURU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mgombea wa Ubunge wa Tunduru Kaskazini amekutana na bodaboda wa Jimbo hilo na kusikiliza kero zao. Kikao hicho kimefanyika Tunduru Mjini jana tarehe 23 Oktoba 2025