Home LOCAL ZITO KABWE APIGA KAMPENI YA MGUU KWA MGUU KUONGEA NA WANANCHI VIJIWENI

ZITO KABWE APIGA KAMPENI YA MGUU KWA MGUU KUONGEA NA WANANCHI VIJIWENI

Mgombea ubunge jimbo la kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ametembelea vijiwe mbalimbali vya bodaboda katika jimbo hilo, mkoani Kigoma Septemba 25, 2025. Zitto amesikiliza changamoto zinazowakabili bodaboda hao na kupata wasaa wa kuwaomba wampigie kura kuwa mbunge wa jimbo hilo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!