Home LOCAL PICHA MATUKIO  TOFAUTI TOFAUTI ZA MGOMBEA WA URAIS KUPITIA CCM MH.DKT.SAMIA SULUHU...

PICHA MATUKIO  TOFAUTI TOFAUTI ZA MGOMBEA WA URAIS KUPITIA CCM MH.DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AKIOMBA KURA WILAYANI UYUI

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha alipozungumza na kuomba kura kwa umati wa Wananchi wa eneo la Ilolangulu, Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora wakati wa ziara ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 11,2025.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!