Home BUSINESS MSAJILI WA HAZINA ATEMBELEA BANDARI YA TANGA

MSAJILI WA HAZINA ATEMBELEA BANDARI YA TANGA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Msajili wa Hazina Bw. Nehemiah Mchechu, Leo Septemba 1, 2025, ametembelea na kukagua shughuli za bandari ya Tanga ikiwemo mipango ya upanuzi wa awamu ya pili.

Katika ziara yake Bw. Mchechu aliambatana na Bw. Plasduce Mbossa, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, nakupokelewa na mwenyeji wao Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk. Batilda Burian.