Home LOCAL MATUKIO KATIKA PICHA: DKT. NCHIMBI KATIKA KAMPENI LUDEWA

MATUKIO KATIKA PICHA: DKT. NCHIMBI KATIKA KAMPENI LUDEWA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

PICHA za matukio mbalimbali za Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, kwenye Mkutano wake wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Halmashauri,Ludewa leo Jumatatu Septemba 22,2025 mkoani Njombe.