Home LOCAL MAJALIWA KUZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KIWANI.

MAJALIWA KUZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KIWANI.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2025 anazindua kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Kiwani zinazofanyika katika uwanja wa Kwareni, Pemba, Zanzibar.

Mgombea kiti cha Uwakilishi wa Jimbo hilo ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.

http://MAJALIWA KUZINDUA KAMPENI ZA CCM JIMBO LA KIWANI.