Home LOCAL DKT. NCHIMBI AKIWASILI UWANJA WA MAJENGO SUMBAWANGA

DKT. NCHIMBI AKIWASILI UWANJA WA MAJENGO SUMBAWANGA

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili kwenye uwanja wa Majengo,Jimbo la Sumbawanga mjini kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wake wa Kampeni leo Septemba 9,2025 mkoani Rukwa.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!