Home LOCAL VIONGOZI MBALIMBALI NA WANANCHI WILAYANI KONGWA WAJITOKEZA KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI...

VIONGOZI MBALIMBALI NA WANANCHI WILAYANI KONGWA WAJITOKEZA KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA SPIKA MSTAAFU JOB NDUGAI

Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi  ya Wilaya ya Kongwa na wa nje ya Wilaya ya Kongwa wameshiriki ibada ya kuombea na kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Hayati Job Ndugai katika Kanisa la Anglikana- Mtakatifu Machael, Dinari ya Kongwa Wilayani Kongwa  leo tarehe 11 Agosti, 2025.
Ibada hii inaongozwa na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dkt. Maimbo Mndolwa.