Home LOCAL MSAMA AKIUNGANA NA VIONGOZI WENGINE MAZISHI YA SPIKA NDUGAI

MSAMA AKIUNGANA NA VIONGOZI WENGINE MAZISHI YA SPIKA NDUGAI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama (watatu kulia pichani)  akiwa pamoja na Waombolezaji wengine, ikiwemo Viongozi wa Serikali, Wanasiasa na Wananchi wakati aliposhiriki maziko ya Spika Mstaafu na aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Kongwa mkoani Dodoma hayati Job Yustino Ndugai aliyezikwa Agosti 11, 2025 Kijijini kwake Wilayani Kongwa.