
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akitoa pole kwa Dkt. Fatma Mganga, ambaye ni mjane wa Mhe. Job Yustino Ndugai, Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alipofika nyumbani kwa marehemu, Mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, leo Ijumaa tarehe 9 Agosti 2025.




