Home LOCAL RAIS DKT.SAMIA KATIKA PICHA UZINDUZI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 RAIS DKT.SAMIA KATIKA PICHA UZINDUZI WA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050 By NEEMA ADRIAN - July 17, 2025 FacebookTwitterTelegramWhatsAppCopy URL Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma tayari kwa Uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo Julai 17,2025.