Home BUSINESS NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA (BoT) MAONESHO YA SABASANA

NAIBU KATIBU MKUU TAMISEMI ATEMBELEA BANDA LA (BoT) MAONESHO YA SABASANA

Rogatus Mativila Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Miundombinu akipokea zawadi kutoka kwa Mariam Kopwe Afisa wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya  ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba  yanayoendelea kwenye viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar er Salaam Julai 12, 2025.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rogatus Mativila Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI anayeshughulikia Moundombinu akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya  ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba  yanayoendelea kwenye viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar er Salaam kushoto ni Mariam Afisa wa Benki Kuu ya Tanzania BoT. 

Baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda hilo wakipata maelezo kutoka kwa wataalam mbalimbali  wa BoT. 

Baadhi ya wanafunzi wa elimu ya msingi waliotembelea katika banda la BoT wakitembelea banda hilo ili kupata ufahamu kuhusu masuala ya fedha.