Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe wakati wa uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention center (JKCC) Mkoani Dodoma leo Julai 17,2025..





