Home SPORTS YANGA YATWAA UBIGWA WA LIGI KUU YA NBC, YAICHAPA SIMBA SC BAO  2...

YANGA YATWAA UBIGWA WA LIGI KUU YA NBC, YAICHAPA SIMBA SC BAO  2 -0 

Timu ya Yanga SC imekwaa ubigwa baada ya kumchapa bao 2-0 kwenye mchezo ulichezwa Leo,Juni, 25,2025 mchezo ambao umechezwa Katika Uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar-es-Salaam ubingwa wa NBC Premier League 2024/25 ikiwa ni mara ya nne mfululizo…na ni ubingwa wake wa 31.
Ni baada ya kumpiga mtani wake Simba na kuhitimisha msimu ikiwa na alama 82 kileleni ambapo imefanya timu hiyo kuchukua nafasi ya pili.