
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku tatu ya waratibu, waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki wa Magereza kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yaliyoanza wakifanya mafunzo kwa vitendo leo Juni 23, 2025 mkoani Dodoma. (Picha na INEC).




