Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti ya Picha aliposhiriki Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa wa mwaka 2025 uliofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete JKCC Mkoani Dodoma Jana, Machi 29,2025.