Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Zainab Katimba amekuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa kwa mwaka 2025 yamefanyika mkoani Singida na mgeni rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. http://MHE_ZAINABU KATIMBA AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI_ 2025 SINGIDA.