Home LOCAL MHE.RAIS SAMIA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KWAAJILI YA KUSHIRIKI...

MHE.RAIS SAMIA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KWAAJILI YA KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID  MSUYA YATAKAYOFANYIKA WILAYANI MWANGA.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

  

http://MHE.RAIS SAMIA AKIWASILI UWANJA WA NDEGE KIMATAIFA WA KILIMANJARO KWAAJILI YA KUSHIRIKI MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID  MSUYA YATAKAYOFANYIKA WILAYANI MWANGA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki Mazishi ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya  yatakayofanyika Kesho Kijijini kwake Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro, tarehe 13  Mei, 2025.