Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Tume ya Rais ya Kutathimini na Kushauri kuhusu masuala ya Kodi ikiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi. Ombeni Sefue, mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 02 Mei 2025.
http://MHE.MPANGO AFANYA MAZUNGUMZO TUME YA RAIS KUTATHIMINI NA KUSHAURI KUHUSU KODI.