Home LOCAL MHE.DKT SAMIA AKISHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA

MHE.DKT SAMIA AKISHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti ya Picha aliposhiriki ibada ya Mazishi ya Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. David Cleopa Msuya, ibada iliyofanyika Kanisa la KKKT Usharika wa Usangi Kivindu Dayosisi ya Mwanga Mkoani Kilimanjaro leo Mei 13,2025.

http://MHE.DKT SAMIA ALIPOSHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA HAYATI MZEE CLEOPA DAVID MSUYA.

Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja #kaziiendelee