Home LOCAL DKT- NCHIMBI AKIKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE MUSOMA.

DKT- NCHIMBI AKIKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI KIWANJA CHA NDEGE MUSOMA.

.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akipokea taarifa na kisha kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Musoma, mkoani Mara, leo Jumatano tarehe 23 Aprili 2025.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!