Home BUSINESS WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI KONGAMNAO LA WANAWAKE KANDA YA KATI

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI KONGAMNAO LA WANAWAKE KANDA YA KATI

Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu, Bi. Fauzia Nombo, akifuatilia hotuba ya Mgeni Rasmi, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mstaafu, Mhe. Anna Makinda, wakati wa Kongamano la Wanawake Kanda ya Kati iliyohusisha mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Contention Center-Dodoma.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Baadhi ya Watumishi Wanawake wa Wizara ya Fedha, wakiongozwa na  Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Utawala na Rasilimaliwatu,  Bi. Fauzia Nombo, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika kwa Kongamano la Wanawake Kanda ya Kati iliyohusisha mikoa ya Dodoma, Iringa na Singida lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center-Dodoma. Katika Kongamano hilo Mgeni Rasmi alikuwa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anna Makinda.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WF, Dodoma)