Home LOCAL WASIRA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WILAYANI KAHAMA.

WASIRA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WILAYANI KAHAMA.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Stendi mjini Kahama akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, uhai wa Chama na kusikiliza changamoto za wananchi mkoani Shinyanga.  

http://WASIRA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WILAYANI KAHAMA.

Wananchi wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Stendi mjini Kahama, Wasira yupo katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, uhai wa Chama na kusikiliza changamoto za wananchi mkoani Shinyanga.