Home LOCAL RAIS SAMIA AWAANDALIA IFTAR VIONGOZI WA DINI IKULU DAR ES SALAAM

RAIS SAMIA AWAANDALIA IFTAR VIONGOZI WA DINI IKULU DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Machi, 2025.