Home LOCAL RAIS MWINYI ATOA MKONO WA EID KWA WANANCHI WALIOFIKA IKULU ZANZIBAR

RAIS MWINYI ATOA MKONO WA EID KWA WANANCHI WALIOFIKA IKULU ZANZIBAR

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar  Alhajj Dkt.Haroun Ali Suleiman  akizungumza kabla ya kumkaribisha  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali kuzungumza na Masheikh mbalimbali wa Zanzibar, waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry, iliyofanyika leo 31-3-2025 katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.(Picha na Ikulu)

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Masheikh mbalimbali wa Zanzibar, waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kutowa mkono wa Eid Al Fitry, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-3-2025, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Sala ya Eid Al Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Humed Suleiman Abdulla  (kulia)  na Masheikh mbalimbali wa Zanzibar katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh Mohammed Omar Juda, baada ya kumaliza mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kutowa mkono wa Eid Fitry, baada ya kumaliza kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar leo 31-3-2025(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana ma Masheikh mbalimbali wa Zanzibar walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kutowa mkono wa Eid Al Fitry, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)  

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia na kutowa Mkono wa Eid Al Fitry kwa Bi.Khadija Khamis, katika  viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-3-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akitowa Mkono wa Eid Al Fitry kwa Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-3-2025, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Fitry, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupokea mkono wa Eid Al Fitry leo 31-3-2025, baada ya kumalizika kwa Mfingo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Sala ya Eid Al Fitry iliyofanyika leo 31-3-2025 katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja .(Picha na Ikulu)

WANANCHI waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kupokea mkono wa Eid Al Fitry, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 31-3-2025, walipofika kupokea mkono wa Eid.(Picha na Ikulu)