Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 09, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ibada ya kumweka wakfu na kumweka kitini Rev. Canon Bethuel
Joel Mlula kuwa askofu wa pili wa kanisa Anglikana, Dayosisi ya Kiteto.
Ibada hiyo imefanyika katika Kanisa Kuu Anglikana na Mtakatifu Mikaeli, Kiteto.