
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na MIchezo, Prof. Paramagamba Kabudi kwenye uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Februari 19.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kwenye uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Februari 19.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Februari 19.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Niah Bakari kwenye uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika mkoa wa Lindi, kwenye viwanja vya Madini, Ruangwa Februari 19.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)